Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Jamani hebu angalieni hii picha kwenye jicho lake la kushoto pamoja na mdomo upande huo huo kisha mueleze ni nini kinaashiria.
















 

Attachments

  • MMGL0880.jpg
    MMGL0880.jpg
    46.1 KB · Views: 4,745
lowasa kiukweli ameleghea sana macho utadhani demu yuko tayari kunako 6x6
 
Tatizo liko wapi..????utakuwa peke yako kwenye ki box au chumba cha kupigia kura, sasa hapo uamuzi ni wako.Kwani huyu alikwenda kwa babu kupata kikombe.....?????? Waliokwenda wamepona.....????na walikuwa na maradhi gani....????.Yote hayo tumuachie MUNGU....mzima anaweza ondoka mgonjwa akabaki.
 
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana
 
Low-hassa ni mgonjwa wa mwili na akili
 
ukiangalia post za weng hapa ni chuk binafsi tuu
 
So ana ugonjwa unaokamata viungo vya upande mmoja ama?
 
Back
Top Bottom