Huyu mdudu anaitwaje?

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hao wadudu kuna jina wanaitwa "tandu" na inasemekana dawa yake ni kuwaua mara tu wanapokuuma.
 
Mwanzo kabla ya kuweka iyo picha nikajua utaweka picha ya kiumbe gani sijui cha ajabu,kumbe ni hako hutokei dar kweli wewe [emoji23][emoji23]
 
Hawa wanaume wa Dar hata wakiona msururu wa siafu, huwa wanahama nyumba kabisaaaaaaaa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wakati huku mikoani tandu, ng'e wakituuma huwa tuna pangusa na kuendelea na shunguli zetu kama kawaida
 
Hao wadudu kuna jina wanaitwa "tandu" na inasemekana dawa yake ni kuwaua mara tu wanapokuuma.
Sasa hawa wanaume wa Dar hawawezi hata kuuwa tandu wallah....[emoji12] [emoji12]
 
Ni tandu huyo, mi shambani kwangu nawaonaga wengi na mara nyingi nawaua.
Halafu nafikiri sio wepesi kuuma mtu.
 
Put your hands together and clap for your self mkuu, umewazidi wanaume wa Daslam kwa ujarisi haki.... Maana bila hivyo nawewe ungekua ushaleta threads nyingi kama wao...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mchokozi sana wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…