Kama ni Dar, ungemuita mwanaume akusaidie hakika angegoma kuja wallah....[emoji12] [emoji12]Mwili umesisimka. Namuogopa huyo mdudu. Nishamuona kwangu kama mara 2. Nashukuru Mungu hajawahi kuning'ata ila siwezi kulala mpaka nihakikishe amekufa
Sio kweli sumu yake haina madhara kwa binadamu. Ila maumivu yake sasa.......Muue haraka huyo tandu, sumu yake inaua!
Sio kweli. LIES!Tandu Huyo, Kuna species nyingi sana, baadhi ya specie wana sumu Kali sana kiasi akikung'ata ukachelewa kupata matibabu Unaweza ku-paralyse mwili
Local bealive...Huyo mdudu akikuuma kadri anavyo tembea ndivyo sumu inasambaa mwilini
Habari wakuu,
Hapa nnapo ishi nimekutana na hawa wadudu mmoja ni mkubwa balaa na mwingine ni mdogo kama huyu, sasa nauliza hawa wadudu wanaitwaje je wanauma na akikuuma dawa yake ni nini na njia ya kuwazuia ni ipi.Nimewakuta wawili wapo karibu na shimo la maji machafu wanakula mende.
View attachment 696000
Mwili umesisimka,,,,,,aahkh dadeeki unahisia kamili za kike wewe..!!Mwili umesisimka. Namuogopa huyo mdudu. Nishamuona kwangu kama mara 2. Nashukuru Mungu hajawahi kuning'ata ila siwezi kulala mpaka nihakikishe amekufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilimuita mmoja eti akasema kama ni nyoka angekuja ila huyo mdudu hana shida nilale tu. Dada ndo alinisaidia maana mimi nilikua nishagoma kuingia ndani kulala.Kama ni Dar, ungemuita mwanaume akusaidie hakika angegoma kuja wallah....[emoji12] [emoji12]
Siyo kweli, akikuuma panakufa ganzi kwa muda baadae unakuwa sawa sumu yake siyo kali kama ya nyoka na wala hawana madhara sana kama watu wanavyotishwaHuyo mdudu akikuuma kadri anavyo tembea ndivyo sumu inasambaa mwilini
Hii yako ni Imani tu..Huyo Ni tandu anauma na ana sumu Kali tu japo haiui. Akikuuma kama leo sa10 utabaki na maumivu makali mpaka kesho mda kama huo ndio unapata nafuu
Umeambiwa wako wa aina nyingi.. Wote uliwajaribu ukajua sumu zao haziui??Sio kweli. LIES!
Kwanini? Mkuu mimi muoga tu ndo maana nikiona hivyo nasisimkwa.Mwili umesisimka,,,,,,aahkh dadeeki unahisia kamili za kike wewe..!!
Nimeanza kukupenda!!
Basi ungeniita nikuje nilale na wewe hapo kama mlinzi wallah.....[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilimuita mmoja eti akasema kama ni nyoka angekuja ila huyo mdudu hana shida nilale tu. Dada ndo alinisaidia maana mimi nilikua nishagoma kuingia ndani kulala.
Ukweli ni upi mkuu!!!em ingia Google msome ni wa aina gani halafu uje tena hapa kubisha.ndiyo sio wote ni hatari kwa maisha ya binadam ila kuna ambao ni hatari mno.Sio kweli. LIES!
Ahahah muoga.....eti angekuwa nyoka ningekuja,ingekuwa kweli nyoka huyo jamaa kama mnaishi nyumba moja kisha ukamwambia wallahi angalihama nyumba![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilimuita mmoja eti akasema kama ni nyoka angekuja ila huyo mdudu hana shida nilale tu. Dada ndo alinisaidia maana mimi nilikua nishagoma kuingia ndani kulala.
Ndo wanaume wetu wa Dar mkuu.Ahahah muoga.....eti angekuwa nyoka ningekuja,ingekuwa kweli nyoka huyo jamaa kama mnaishi nyumba moja kisha ukamwambia wallahi angalihama nyumba!
Haahaa wanawake wengi ndo mko hivyo, sema me ndio nawapenda wanawake wa hivyo, yaani pale mwanamke anaposisimka eti sababu kaona mende, aah me hoi kabisa!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini? Mkuu mimi muoga tu ndo maana nikiona hivyo nasisimkwa.