Huyu mdudu ana miguu mingapi?

wadudu wangekuwa wakubwa hivyo, binadamu sijui tungekuwaje? na wanyama wengine ndio usiseme!
 
si mdudu bali mnyama ila miguu ninayoiona ni minne, ila mchoraji ameunganisha sana hizo nafasi za miguu so ukiiangalia picha kwa umakini utaona kama inachanganya but ukiangalia kwa mara moja unaona 4
 
Ngoja nivae miwani yangu. Ahhhh Sio mdudu ni jidudu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…