Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

Hii thread tangu jana naipita tu,moyo unasita kuifungua

narudi leo naona views na comments si haba nkasema niingie

nimejikaza kusoma Mwanzo mwisho japo n mvivu soma mambo ya mahusiano

mwisho nakutana na njemba iliyofungwa akili na bado haoni hilo

Mkaushie baada ya mwezi atakuja kwako akiwa mjamzito,utamsadia najua (si ushaiva wewe)

utalea mimba atajifungua na hapo ndio mtaishi kama mke na mume

utafikri anakupenda ila ukweli ni atakua na wewe sababu ya mtoto wake

Timbwili na huyo shosti sio la kuisha leo wala kesho,mtakua mnacheza na button za

Pause n Play mpk uzeeni mwako,we endelea hivyo hivyo jitie Alehandro (unayajua sana)
 
Hakuna mke apo, chukua hatua mapema. Ila kwa jinsi unavyoendeshwa na moyo. Sidhn km utaweza kutoka apo mkuu. Jing'amue ata kwa kenchi.
 
Hii thread tangu jana naipita tu,moyo unasita kuifungua

narudi leo naona views na comments si haba nkasema niingie

nimejikaza kusoma Mwanzo mwisho japo n mvivu soma mambo ya mahusiano

mwisho nakutana na njemba iliyofungwa akili na bado haoni hilo

Mkaushie baada ya mwezi atakuja kwako akiwa mjamzito,utamsadia najua (si ushaiva wewe)

utalea mimba atajifungua na hapo ndio mtaishi kama mke na mume

utafikri anakupenda ila ukweli ni atakua na wewe sababu ya mtoto wake

Timbwili na huyo shosti sio la kuisha leo wala kesho,mtakua mnacheza na button za

Pause n Play mpk uzeeni mwako,we endelea hivyo hivyo jitie Alehandro (unayajua sana)
nsha pause mazima boss
 
mkuu nakuhakikishia natoka kwa lazima
Basi ni vizuri itakuwa endapo ukifanya ivyo. Kweli huu msemo una maana kubwa sn "penye miti mingi, hakuna wajenzi". Wengine wanalilia hizo bahati lkn yeye anashndwa kujua bahati aliyoipata. Wanawake sisi bhn sijui tupoje.
 
Dar es salaam ina wanawake wanaofake maisha sana, atajifanya matawi kumbe salio linasoma GPA ya lower class 2.3
 
Back
Top Bottom