kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,976
HahaaaaaaaaHata hujamtolea posa kwao tayari unataka kumtawala kihivyo.kwa kumtambulisha kitu gani. Inaonekana wote bado watoto mliowahi kumiliki simu.

Huu ni utoto kabisaMchumba wangu wa kike anauza duka maeneo flani hapa mjini.
Ni wiki mbili tu tangu nilipomtambulisha kwa wazazi.
Jana saa saba na dakika 10 mchana nikamtumia meseji ya kawaida, hakujibu.
Ilipofika saa saba na dakika 33 nikawa na wasi wasi ikabidi nimpigie simu.
Nikapiga mara ya kwanza kimya. Nikatulia dakika 3 zikapita nikapiga tena kimya.
Baada ya dakika kama 5 akanipigia. Kwa hasira sikupokea simu. Akatuma meseji eti sory mpenzi nilienda kununua chakula.
Mmh sikuridhika na sababu yake hiyo maana sikutegemea kama ataacha duka aende kununua chakula zaidi ya dakika 20.
Akaendelea kunitext na kupiga nikakaa kimya. Usiku ikabidi nipokee simu yake, tuliiashia kulaumiana bila muafaka.
Hadi muda huu napoandika hajanitumia SMS wala kupiga tangu jana usiku. Na mimi nimeamua kukaa kimya.
Sasa najiuliza, huyu mchumba vipi? Anafaa kweli? Na nshamtambulisha sasa. Najiuliza nimchukulie hatua gani bila majibu.
Hata miye nadhani ni utoto unamsumbua na ukosefu wa kazi ya kufanya.Utakuwa una miaka chini ya 20
pole sana mkuu.Mchumba wangu wa kike anauza duka maeneo flani hapa mjini.
Ni wiki mbili tu tangu nilipomtambulisha kwa wazazi.
Jana saa saba na dakika 10 mchana nikamtumia meseji ya kawaida, hakujibu.
Ilipofika saa saba na dakika 33 nikawa na wasi wasi ikabidi nimpigie simu.
Nikapiga mara ya kwanza kimya. Nikatulia dakika 3 zikapita nikapiga tena kimya.
Baada ya dakika kama 5 akanipigia. Kwa hasira sikupokea simu. Akatuma meseji eti sory mpenzi nilienda kununua chakula.
Mmh sikuridhika na sababu yake hiyo maana sikutegemea kama ataacha duka aende kununua chakula zaidi ya dakika 20.
Akaendelea kunitext na kupiga nikakaa kimya. Usiku ikabidi nipokee simu yake, tuliiashia kulaumiana bila muafaka.
Hadi muda huu napoandika hajanitumia SMS wala kupiga tangu jana usiku. Na mimi nimeamua kukaa kimya.
Sasa najiuliza, huyu mchumba vipi? Anafaa kweli? Na nshamtambulisha sasa. Najiuliza nimchukulie hatua gani bila majibu.
Nyote ni wamasai?.
Kaka huyo hakufai kabisa kwani thamani ya ndoa ni amani ndani ya nyumba. Huyo dada hana nidhamu au utii kwa mume yoyote. Ninao uhakika ukiingia hapo utaosha vyombo, utapika, na ndugu zako watakutenga maana unatakiwa upokee command kutoka kwake tu. Kumbuka mwanamme ni kichwa hivyo ukiyumbishwa au kutopata utulivu ndani ya nyumba kutaathiri sio tu maendeleo ila na maisha yako . pia inawezekana ana tabia ya kuchepuka kwani kama hataki kupokea simu Muda huu hajaolewa je akikuzoea atakuheshimu.? Chukua hatua kabla hayajakufika makubwa kaka ndoa ndoano hiyo.Mchumba wangu wa kike anauza duka maeneo flani hapa mjini.
Ni wiki mbili tu tangu nilipomtambulisha kwa wazazi.
Jana saa saba na dakika 10 mchana nikamtumia meseji ya kawaida, hakujibu.
Ilipofika saa saba na dakika 33 nikawa na wasi wasi ikabidi nimpigie simu.
Nikapiga mara ya kwanza kimya. Nikatulia dakika 3 zikapita nikapiga tena kimya.
Baada ya dakika kama 5 akanipigia. Kwa hasira sikupokea simu. Akatuma meseji eti sory mpenzi nilienda kununua chakula.
Mmh sikuridhika na sababu yake hiyo maana sikutegemea kama ataacha duka aende kununua chakula zaidi ya dakika 20.
Akaendelea kunitext na kupiga nikakaa kimya. Usiku ikabidi nipokee simu yake, tuliiashia kulaumiana bila muafaka.
Hadi muda huu napoandika hajanitumia SMS wala kupiga tangu jana usiku. Na mimi nimeamua kukaa kimya.
Sasa najiuliza, huyu mchumba vipi? Anafaa kweli? Na nshamtambulisha sasa. Najiuliza nimchukulie hatua gani bila majibu.
Maneno kuntu mkuu. AsanteKaka huyo hakufai kabisa kwani thamani ya ndoa ni amani ndani ya nyumba. Huyo dada hana nidhamu au utii kwa mume yoyote. Ninao uhakika ukiingia hapo utaosha vyombo, utapika, na ndugu zako watakutenga maana unatakiwa upokee command kutoka kwake tu. Kumbuka mwanamme ni kichwa hivyo ukiyumbishwa au kutopata utulivu ndani ya nyumba kutaathiri sio tu maendeleo ila na maisha yako . pia inawezekana ana tabia ya kuchepuka kwani kama hataki kupokea simu Muda huu hajaolewa je akikuzoea atakuheshimu.? Chukua hatua kabla hayajakufika makubwa kaka ndoa ndoano hiyo.
Hata robo kwao n kitongammmhh simu tuu!! mnasafari ndefu sana!!