Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,158
- 48,421
Huyu mbuzi kanona balaa, lakini wanaochepuka kwenye mahusiano yao wataona ni Mbwa.
Haya maujinga muwe mnapost kwenye whatsapp status hivi kweli unapost Jamiiforums huu ujinga na ww unasema uzi huuView attachment 3414257
Huyu mbuzi kanona balaa, lakini wanaochepuka kwenye mahusiano yao wataona ni Mbwa.
Acha ujanja nje ya ujanja. Hao JF walioweka chit chat & Jokes forum unawaona ni wajinga.Haya maujinga muwe mnapost kwenye whatsapp status hivi kweli unapost Jamiiforums huu ujinga na ww unasema uzi huu
Jukwaa ni la jokes. Ukitaka vitu sensitive Nenda jamii intelligenceHaya maujinga muwe mnapost kwenye whatsapp status hivi kweli unapost Jamiiforums huu ujinga na ww unasema uzi huu
Acha ujanja nje ya ujanja. Hao JF walioweka chit chat forums unawaona ni wajinga.
Kama huwezi kutofautisha majukwaa basi ujue tatizo liko kwako.
Wahyi utashuka sasa hivi kuwa ni chakula kitamu cha mbinguniView attachment 3414257
Huyu mbuzi kanona balaa, lakini wanaochepuka kwenye mahusiano yao wataona ni Mbwa.
Wewe jamaa 😀😄😆😃Wahyi utashuka sasa hivi kuwa ni chakula kitamu cha mbinguni
Kwa hiyo kwa upumbavu wako ....unaona hiyo jokes kuna mtu umemkesha ....hiyo sio joke umepost utoto ... joke gani haichekeshi .... post maujinga yako whatsapp hapa unajaza server kwa jokes za kishamba...post facebook...huku leta jokes watu kweli wanasema hii jokes ...Acha ujanja nje ya ujanja. Hao JF walioweka chit chat & Jokes forum unawaona ni wajinga.
Kama huwezi kutofautisha majukwaa basi ujue tatizo liko kwako.
Tena wale wa Tanangozi ndiyo ukila na kapilipili😃😄😆Iringa huko ndo mambo yetu mbuzi safi kabisa
Kama hujui "jokes are not universal " kitu kinachokuchekesha wewe kwa wengine siyo kichekesho.Kwa hiyo kwa upumbavu wako ....unaona hiyo jokes kuna mtu umemkesha ....hiyo sio joke umepost utoto ... joke gani haichekeshi .... post maujinga yako whatsapp hapa unajaza server kwa jokes za kishamba...post facebook...huku leta jokes watu kweli wanasema hii jokes ...
Mkuu mbona unanitamanisha 😋😋😋Tena wale wa Tanangozi ndiyo ukila na kapilipili😃😄😆
Wakati wa ulanzi na mkalifya...😃😀Mkuu mbona unanitamanisha 😋😋😋
Shida ya wanajf wengi ni hiyo hawajui kutofautisha majukwaa.Acha ujanja nje ya ujanja. Hao JF walioweka chit chat & Jokes forum unawaona ni wajinga.
Kama huwezi kutofautisha majukwaa basi ujue tatizo liko kwako.
Umemtamani...😄😆😃😀Aiseeeeeee