umempa max ndogo sana.
akiweka vioo utasema hajaweka na taa. na akiweka taa utasema mbona haziwaki. na zikiwaka utasema mbona halitembei. na likitembea utasema mbona halikimbii.
mm binadamu nawafahamu sana.

akiweka vioo utasema hajaweka na taa. na akiweka taa utasema mbona haziwaki. na zikiwaka utasema mbona halitembei. na likitembea utasema mbona halikimbii.
mm binadamu nawafahamu sana.

kweli mkuu umenenaaaAmejitahidi kuigilizia. Bila shaka ametumia muda mrefu, nisichojua ni kama malipo yanaendana na kazi aliyofanya
Alipwe na nani wakati kajiajili mwenyewe!?Amejitahidi kuigilizia. Bila shaka ametumia muda mrefu, nisichojua ni kama malipo yanaendana na kazi aliyofanya
Alipwe na nani wakati kajiajili mwenyewe!?
...likikimbia atasema mbona halijapata ajaliakiweka vioo utasema hajaweka na taa. na akiweka taa utasema mbona haziwaki. na zikiwaka utasema mbona halitembei. na likitembea utasema mbona halikimbii.
mm binadamu nawafahamu sana.