huyu mbunifu unampa max ngapi?

huyu mbunifu unampa max ngapi?

52a9eb52a115bd47f053cc067ad58bdb.jpg
99%
 
ukisema unampa 99% inamaana wewe unaweza ukawa mwalimu wake.
kwasababu kama ww hata hilo gali kulichora kwenye karatasi hauwezi achiliambali kulichonga hadi likawa hivyo.
inamaana ilitakiwa uumpe 100%.
 
He sasa hiyo si ungempa wewe? Sasa ya mimi kuwa mwalimu wake yanakujaje hapo. kwani 99% unadhani ni mchezo hiyo ni distinction hiyo!
 
kwahiyo kumpa 100% ndio umegoma kabisa.
 
kwahiyo kumpa 100% ndio umegoma kabisa.
Umenikumbusha mwalimu wangu wa Physics A-Level, ukijibu vizuri sana beyond his expectation anakupa bonus kati ya marks 1-5! Kukumotivate. Kwa heshima yako nampa bonus ya maksi moja hivyo nampa 100%
 
hapo sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom