Huyu mbunge hana hata aibu

Huyu mbunge hana hata aibu

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
541425_562921683719027_590406073_n.jpg
Aden Rage
 
Rage ni mgomvi...hata mpira pesa wanajua
 
Mwisho wake ni 2015.

Chonde chonde wananchi wa Tabora tusifanye makosa tena kuchagua mwendazimu.
 
Muhuni ni muhuni tuuu; hata umbadilishe rangi; suala la asili yake ya uhuni kuna wakati litajiibua tuu!! The man is thug; PERIOD!
Kwa watu wazima kama Rage kupiga watu mawe au kugombania ufito usio na dhamani kama watoto wadogo, ina maana moja kubwa: baadhi ya wabunge tuliowachagua ni watu wa ovyo na wenye tabia zisizofaa katika jamii. Kwenye nchi zenye kujua ustaarabu na uwajibikaji, Rage na wenzake walitakiwa wawe wameishajiuzulu.
 
Rage ni mhuni asiyeendana na hadhi aliyopewa...!!
 
Ndugu zangu wanatabora ni lazima tufanye juu chini tumuondoe huyu muhun madarakani 2015.
 
Ni vigumu kutoa hukumu kwa kuangalia hii picha tu. Hebu jaribu kutoa deduction: nani mgomvi? Don't forget kutaja reasons.
 
Ha ha ha!!Rage maisha ya jela yalimuharibu akili!!kila kitu anadhani kinasolviwa kwa ubabe
 
Ha ha mwacheni mwenyekiti wangu wa sound kibao
 
Back
Top Bottom