Huyu mama rpc wa morogoro duh!!!

Huyu mama rpc wa morogoro duh!!!

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
279
Mkuu+wa+Mkoa+wa+Morogoro%252C+Joel+Bendera%252C+%2528mwenye+miwani%2529akifuata+nyayo+za+RPC+Adolfina+Chialo+aliyeongoza+mstari+%2528+Single+line%2529%252C+kwenda+kuangalia+uharibifu+wa+Bonde+la+Kilombero..JPG

Nadhani mama ni jasiri sana, sijui mmewe vipi! Halafu haya mabuti nadhani yametolewa kwa idara za serikali. Tukiyachunguza sana tutakuta STK
 
Yataka MOYO........yaahhhh, haya mabuti nimemuona nayo Tyson, mapya kabisa haya!!!
 
Nadhani yatakuwa yamenunuliwa na kitengo cha maafa maana katika hali ya kawaida hawawezi kuwa nayo hawa, GX V8 na mabuti inawezekana kweli?
 
Mkuu+wa+Mkoa+wa+Morogoro%252C+Joel+Bendera%252C+%2528mwenye+miwani%2529akifuata+nyayo+za+RPC+Adolfina+Chialo+aliyeongoza+mstari+%2528+Single+line%2529%252C+kwenda+kuangalia+uharibifu+wa+Bonde+la+Kilombero..JPG

Nadhani mama ni jasiri sana, sijui mmewe vipi! Halafu haya mabuti nadhani yametolewa kwa idara za serikali. Tukiyachunguza sana tutakuta STK

Hizo ni "Gum boots" za kawaida na zinapatikana kwenye maduka ya vifaa vya Kilimo na mifugo.
 
Mkuu+wa+Mkoa+wa+Morogoro%2C+Joel+Bendera%2C+%28mwenye+miwani%29akifuata+nyayo+za+RPC+Adolfina+Chialo+aliyeongoza+mstari+%28+Single+line%29%2C+kwenda+kuangalia+uharibifu+wa+Bonde+la+Kilombero..JPG

Nadhani mama ni jasiri sana, sijui mmewe vipi! Halafu haya mabuti nadhani yametolewa kwa idara za serikali. Tukiyachunguza sana tutakuta STK

una laana wewe............ hahahaaaaaaaaaaaa

Mumewe anahusikaje sasa??? umeangalia nini kwa huyu mama hadi umkumbuke mumewe?, mwanya, sura, tumbo miguu au kitambi na mabuti??

Calnde una issues mkuu 😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:
 
Safi sana Mama, sio kina Sofia Lion kazi kupaka wanja na lipstik kazini wakati utendaji ni zero....

Kazana hivyo hivyo atawaseme
 
Nafikiri kuna haja ya kuangalia upya hizi ajira za Serikalini, sizani huyu mama amepitia njia halali za kuajiriwa.
 
ahhaa Mzalendo kwani umeona nini ambacho huyo mama hana au hafai kuajiriwa serilkalini??
 
shit....unawezakuta jamaa anapigishwa gwaride every morning kuizunguka nyumba
 
Kopro??? Si atakuwa anadeki nyumba daily hapo maana pozi la mmama si mchezo
We, mapenzi kitu kingine, acha kabisa. Unaweza kukuta mama akirudi nyumbani ukali wake na ukakamavu anauacha ofisini
 
Mkuu+wa+Mkoa+wa+Morogoro%2C+Joel+Bendera%2C+%28mwenye+miwani%29akifuata+nyayo+za+RPC+Adolfina+Chialo+aliyeongoza+mstari+%28+Single+line%29%2C+kwenda+kuangalia+uharibifu+wa+Bonde+la+Kilombero..JPG

Nadhani mama ni jasiri sana, sijui mmewe vipi! Halafu haya mabuti nadhani yametolewa kwa idara za serikali. Tukiyachunguza sana tutakuta STK

nyote hapo mnafanana! ona jinsi unavyoyaangalia hayo mabuti, na hako ka-pinhole camera kako ukilinganisha na hilo tumbo ni kivutio tosha.
 
Back
Top Bottom