Huyu Mama Anazidi Kutafuna Kodi Zetu

Huyu Mama Anazidi Kutafuna Kodi Zetu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
[h=3]MAMA SALMA KIKWETE AZURU LINDI/ AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA LINDI MANISPAA, AKABIDHI BATI 100 NA VYOMBO VYA BENDI SHULE YA SEKONDARI ANGAZA[/h] IMG_4957.JPG

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Mwantumu Mahiza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 15.3.2015 kuanza ziara ya kikazi ya siku 5 kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.
 
Hivi Anna mkapa alifariki au mzima, samahani kwa swali gumu, kama yu hai na aishi milele, simsikii kabisa sikuhizi.
 
anna mkapa yu hai anakula pesa za marais wastaafu afrika, utajiri wake sasa ni mara dufu ya wakati mumewe akiwa raisi
 
nahisi hili dege alilotumia salma ni dege la raisi
 
Back
Top Bottom