Huyu mama alikua anamaanisha nini?

Huyu mama alikua anamaanisha nini?

Nanukuu maneno yake niliyosikia nikiwa dirishani chumban kwangu, yeye alikua anapita barabaran anapita halafu alikua anaongea kwa nguvu sana!

"YANI NA KWAMBIA KWA WEEK MARA MOJA DAKIKA 5 TUU, TENA HIYO MARA MOJA YENYEWE KWA MBINDE SANAAA YANIIII"P
Shule zifunguliwe wajamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom