Huyu mama alikua anamaanisha nini?

Huyu mama alikua anamaanisha nini?

Nanukuu maneno yake niliyosikia nikiwa dirishani chumban kwangu, yeye alikua anapita barabaran anapita halafu alikua anaongea kwa nguvu sana!

"YANI NA KWAMBIA KWA WEEK MARA MOJA DAKIKA 5 TUU, TENA HIYO MARA MOJA YENYEWE KWA MBINDE SANAAA YANIIII"P
Inasikitisha Sana ,kama anaona hawezi kazi akatafute mwingine atakayempelekea MOTO daily kwa dakika 90.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom