Jana mh mmoja mjengoni kwa jina la Madabida alikoroma sana hadi Zungu akakereka.
Naskia ni Mndengereko, nduguye Nyanchoka ( Mama Salma).
Aliongea sana kwa jazba akiunga hoja mia kwa mia na kuwakoromea wote wanao criticize bajeti. Nilivyomuona anatafuta umaarufu ili mh Rais amuone ili ampe uwaziri.
Akipewa uwaziri huyu wizara itaendeshwa kwa jazba na visasi. Amechukia sana watu ku quote mawazo ya kamati yake. Pia anadhani watu wanaotumia mtandao ni wajinga wasio na kazi.
Kuna mtu anamjua vizuri? CV yake n.k?