Huyu kweli ndio Mwakyembe wa Richmond? Huyu ndio aliomba aombewe apone na leo anakataza asiulizwe Azory Gwanda?

Mungu awapumzishe tu mawaziri desgn ya Mwakyembe...nawaza toto lake lipotee utaona maccm yatakavyopoteana...shenzy sana sijui mke wa wazory anajisikiaje kusoma uharo wa Mwakyembe sura ziito😏😏
 
Mnajidanganya kudhani Mwakyembe ndiye alidondosha mbuyu 2008. Yule alikuwa JK na Sitta walifanya kupitia Harrison. Mwakyembe mnafiki hana ujasiri huo alitumika kama toilet paper

Kuhusu bunge la katiba,vuta kumbukumbu vizuri. Mwakyembe alikana dissertation yake kuhusu serikali tatu. Manguli Tundu Lissu alimuumbua.

Huu ni mwendelezo wa Mwakyembe kutumia kama toilet paper.
 
Alinusurika kufa sasa amekuwa mpole . Ile tindikali ilikuwa Inaenda kumuua
 
Yawezekana kipindi hicho mshauri wake mkuu alikua mkewe ndo maana ubongo ulikua upo sawasawa
Mkuu, hilo nalo neno. When Love is with Love, Love does not know who Love is, when Love is away from Love, Love knows who dear Love was. Kilangila.
 
Mnajidanganya kudhani Mwakyembe ndiye alidondosha mbuyu 2008. Yule alikuwa JK na Sitta walifanya kupitia Harrison. Mwakyembe mnafiki hana ujasiri huo alitumika kama toilet paper

Kuhusu bunge la katiba,vuta kumbukumbu vizuri. Mwakyembe alikana dissertation yake kuhusu serikali tatu. Manguli Tundu Lissu alimuumbua.

Huu ni mwendelezo wa Mwakyembe kutumia kama toilet paper.
Hapana Mkuu, Mwakyembe alikuwa vizuri sana. Kama ile polonium haiku mmaliza, basi usemi ule unahusika "Kama huwezi shindana nao, ungana nao". Sijui kama ni tafsiri sahihi, maana origin yake ni kiingereza. Kilangila..
 
Aliwahi toa tamko watakaofunga ndoa wote Tz wawe na vyeti vya ndoa ! Nikashtuka nikajua na kuamini walioko kule akili zinapungua ! Walioko huku akili zinaongezeka !
 
Tuweke kumbukumbu sawa kwanza, nilimsikia IGP akisema angetolea maelezo suala la MO ....alifanya hivyo!?
Samahani maana wengine tunaishi maeneo ambayo hatuwezi kujua yote yanayoendelea.
Alisema ndani siku 3, huu mwezi wa pili. Ina Jiwe alikuwa anatuzuga?
 
Mkuu anajivunia ngozi kurudi kwenye hali yake

Ashasahau aliwahi pukutika kama kaugua ugonjwa wa lawalawa
 
Aliwahi toa tamko watakaofunga ndoa wote Tz wawe na vyeti vya ndoa ! Nikashtuka nikajua na kuamini walioko kule akili zinapungua ! Walioko huku akili zinaongezeka !

Siyo vyeti vya ndoa, ni vyeti vya form four
 
Nimeshangazwa na viongozi wa namna hii hivi kuna ubaya gani wanainchi kuulizia wapendwa wao ambao hawako nao tena? Tena kwa kutokojua wapo wapi kama walishakufa au la baada ya kupotea kwa muda mrefu.

Kwanini viongozi wa namna hii wanashindwa kuwa positive kwenye issue kama hii! Kama kiongozi anaona kuna watu wengine wamepatwa na matatizo kama hayo akatazwi nae kuwahuzunikia lakini kutuambia tuache kuhoji kuhusu Azory inaleta ukakakasi. Hawa ndio Viongozi wetu.
 
Back
Top Bottom