Huyu Kipanya anazidisha sasa

Hivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
Serikali haigharamii umeme vijijini watumiaji ndiyo tunaopeleka umeme vijijini kwa kulipa REA kila tununuapo LUKU. Wakisha weka umeme wanaweka bendera za CCM ili wazindue.
 
Kijijini kwetu umeme umepita juu tu, wamepeleka kijiji cha pili ili hali hicho kijiji cha pili ni kidogo kuliko hata chetu hata robo hakifikii
Kwani kijiji chenu kinaongozwa na chama gani mkuu? Mapumbavu haya yanaruka vijiji vya wapinzani.
 
Angalia hiyo nyumba yake then value na hiyo elf 20 unayosema
Kwani wewe mkuu hukumwona mh. Kale-man hukumwona anazindua umeme ulioingizwa kwenye nyumba yenye thamani ya shililingi elfu 10?
 
Hivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
Kijijini 20000 ni sawa na laki mbili mjini wangefungiwa umeme kwanza halafu hizo gharama wangekuwa wanalipa kidogo kidogo wakati wa msimu wa Mavuno.
 
Kudanga kunakusaidia nini kama unashindwa kuwatumia wazazi 20'000/- wakaungiwe umeme!
 

Kama hana uwezo kwakulipia..atapata wapi uwezo wakununua luku
 
Kwani wewe mkuu hukumwona mh. Kale-man hukumwona anazindua umeme ulioingizwa kwenye nyumba yenye thamani ya shililingi elfu 10?

Lowasa alisema shule shule shule
 
We dishi bovu kweli unazan umeme ukipita tu unajiunganishia ht km hamna transformer ???
Hivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Serikali haigharamii umeme vijijini watumiaji ndiyo tunaopeleka umeme vijijini kwa kulipa REA kila tununuapo LUKU. Wakisha weka umeme wanaweka bendera za CCM ili wazindue.
 
Teh teh teh....
Sijaona kosa la kipanya, labda familia inataka kuomba fedha kutoka kwa mtoto wao. Maana wamefurahi.
Au umeme umepita kuelekea eneo jingine na hawaruhusiwi kuunganishiwa kwa kuwa haujapoozwa.
Kipanya ni msanii anayefikisha ujumbe kwa staili hiyo. Mie ni mhanga wa mradi wa REA kijijini kwetu Bisarwi, kata ya Manga wilayani Tarime.
Wale tunaoishi maeneo yanakopita nguzo za umeme tuliambiwa tusidai fidia; tutoe mchango kwa jinsi hiyo kwenye mradi. Nililazimika kukata miti kadhaa kupisha laini ya REA. Tukawa na matumaini makubwa ya kuunganishiwa umeme wa mradi.
Cha kushangaza kitongoji chetu kikarukwa. Mkandarasi akaweka transformer yenye ukubwa wa KVA 25 kwenye Senta. Nyumba chache ndizo zilizopata umeme.
Tulipofuatilia tukaambiwa tatizo ni nguzo, hazipatikani. Aidha, baadaye tukaambiwa tungepata kwenye awamu (phase) ya II. Hatukata tamaa. Mwisho wa siku tukaambiwa na msimamizi wa mradi, TANESCO, kuwa REA hawana awamu. Wakipita wamepita. Kama umejenga mbali na kulipita nguzo za kusambaza umeme uliopoozwa na unahitaji, TANESCO ndio watakuunganishia kwa malipo ya gharama zao! Niliisha kufanyiwa "wiring" lakini niko gizani.

Dhana nandoto ya umeme vijijini kwa gharama nafuu inageuka kuwa ndogo kwa wengi. Ndio ujumbe wa Kipanya.
 
Kwahiyo mita mia karibu ee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…