Huyu Kalishwa Limbwata

nimeipenda sana hii picha
 
Hiyo mbona poa tu! Mimi napenda kufua ch*pi za wife na yeye anafua zangu. Nikianza kuzishika tu mzuka unanipanda ile mbaya saa zingine nazitumia kama starter kwenye mambo yetu kwani harufu yake inantia ashiki vibaya mno. Kila jioni lazima nimvulie ch*pi alovaa siku hiyo kabla hata hajenda bafuni.
 
Lovely. Ingawaje sababu mi najidai bandidu kwa wife ili kuweka respect siwez fanya hivi.
 
unaweza kuwa ni upendo tu..!

Upendo wa kipuuzi. Mpaka ufue chupi za mkeo ndio uonyeshe upendo. kama kuna sababu ya msingi sawa nitafua sana! Lakini katika hali ya kawaida, sifanyi. Acha chupi ya mke hata nguo zangu, za watoto sifui kama mke wangu hana sababu ya msingi ya kutofanya hizo kazi.
 

Mkuu sidhani kama ni tatizo kufua nguo za ndani ama za kawaida za mkeo,lakini kwa kuwa tunatofautiana mtizamo siwezi kushangaa.But kwa maisha ya kushirikiana na upendo usio na mipaka unaweza fanya.Mie sina utaratibu maalum wa kumfanyia mambo mazuri mke wangu lakini huwa nafua nguo zake zote kwa moyo mweupe hasa weekend napokuwa home,japo kazi ya kuogesha watoto ni yangu kwa kila jioni na im happy with that.So namna unavyofasiri jambo ndio huwa hivyo katiaka maisha yako.UPENDO WA KWELI HAUNA MIPAKA NA ALWAYS HUWA WAZI FOR WHAT S/HE FEELS.
 
Mi napenda tu kuwavua hayo mengine hapana
cjui kufua kuanika .hapana
 

aya bhana! ndio wanaume wa kiafrica ninyi. mko wengi design yako kweli kweli
 
Kwanza nguo za kinamama huwa sio chafu na hazina sugu kama za kinababa, kwa hiyo wala hazichoshi kufua. Hapo anapompa hiyo "pichu" bila shaka huyo demu ndani hana kitu ndani kwa hiyo wakati mwingine ni kama ishara ya kukutaarifu huku chakula kimeiva njoo ule baba, kama anavyofanya huyu dada hapa:
 

Attachments

  • Sina kitu ndani.jpg
    4.1 KB · Views: 1,542

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…