Huyu Kaka Kaniweza

Kwa hiyo hapa unahitaji nini? Ushauri, umeleta tu habari, utafutwe uonyeshe maufundi uliyopewa na huyo baharia au unatutega tuje PM? Hebu nenda kwenye mada
 
Bila shaka Wewe ndo uyo dada ake. ndani ya ID ya kiume
 
Jifunze kuandika kwanza. Huku kuweka vituo(nukta) kwenye uandishi?

Back to the topic:
Mkaenda kunywa,mkacheza mziki,akarudi na wewe geto kwake,AKAKUKULA na hajawahi kukuambia anakupenda!

Mpaka hapo hujajua tu kuwa umekutana na baharia,amekula mzigo na anasepa?
 
huyo kaka ni mimi..sijapenda papuch yako haina utamu asil
 
Username yako kama jina la mwanangu. I hope hatokua miyeyusho kama mleta uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…