Huyu Kaka Kaniweza

Mnakua cheap Sana,mnaliwa bila kuambiwa mikakati yoyote,happy jamaa kaona wewe niwakuliwa tu,na siyo kukuoa.
Mkuu mbona unataka kumlazimisha dada wa watu,afikirie kuolewa ilhali yeye hajasema anataka kuolewa?

Amekwambia hawezi kumsahau jamaa,lakini pia anatamani awe wake(sio anatamani kuolewa naye)

So,usimlazimishe dada aanze kuwaza mambo ya ndoa wakati sio target yake
 
Baharia ndo wanakulaga hivyo
Ahsante... Halafu wanapotea
 
Kwani hapo bar ameacha kwenda? Kwanini ulifuta namba yake?
Ila hiyo ahsante mmmmh...
 

 
Aisee!! So hata hamkutongozana, amekuchukua akakukaza na kuondoka zake kama wanavyofanywa wale makahaba wa buguruni, tandika na temeke sudani?
 
Mbona unaandika haraka hivyo kama unajitetea?
Shida ni nini mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…