estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Jamani acheni utani Tanga raha, nilikutana na huyu kaka sehemu anapoishi Dada yangu toka siku hiyo nilikuwa namuona mtu tu wa kawaida huwa akifika pale kwa dada anatabia ya kumwambia anipigie simu ili niende kwa ajili ya kunywa bia na mara nyingi huwa siendagi ni mara moja sana huwa naenda kama ikitokea nina muda baada ya miezi kupita majuzi tukapanga twende out na kweli tulienda kwenye Band tulikunywa sana na kucheza mziki binafsi kwa sasa niko single na yeye pia ila sina uwakika tulivyotoka mziki mida ya kurudi home ikabidi aturudishe home aliwashusha dada yangu pamoja na shemeji yangu mimi na yeye tukaenda nyumbani kwake dah kuna wanaume fundi ila huyu kaka kiboko huyu kaka sitoweza kumsahau kwa kweli (najua kuna watu watahoji kama tulitumia kinga jibu ni ndiyo) natamani awe wangu sijui nifanyaje na namba yake nilikuwa nayo na namba yangu pia anayo sema ya kwake nishaifuta na kuhusu kunipenda alishamwambia shemeji yangu kuwa ananipenda ila yeye kunitamkia bado na kufanya kote kule usiku ajaniambia chochote zaidi ya kumaliza kufanya mapenzi na kuniambia Ahsante........
