Huyu kaka jirani simuelewi kabisa

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,388
Reaction score
16,185
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.

Nimewamiss wana jukwaaπŸ˜πŸ™‚β€β†•οΈπŸ˜”
 
Sasa usichomwelewea ni Nini?...huyo ni introvert, ni warrior behind keyboard ...ni mshy lkn mwaminifu na trust me akikuzoea utampenda....usimtunuku Ngono kwanza, make him a friend....bado na simu zake na ubize wake , Hana marafiki and he is very lonely.......
 
Siwezi kudate naye siyo type ya wanaume naowakubali
 
Vidada vya jf vinaongoza kwakutongaza kwa staili hizi humu!!, We sema kama kisididi chako kimewasha mtu aje akusaidie.... Sasa wewe unataman uwaelewe wanaume wote umekuwa malaika?.
Mh! Wewe nawe umefika mbali acha hizo
 
Si nilikwambia matukio huwezi kuishiwa πŸ˜†
 
Akikutumia meseji huwa anakuambiaga nini na mkionana ana kwa ana anasema nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…