Umeongeza furaha sana maishani mwangu tangu tuwe wote darling, sijawahi penda kama ninavyokupendaThank you bebe
One thing please, naona watu wengi wanakuhitaji hapa naomba uwapotezee hawana nia njema watatuharibia penzi letu la dhati baeNakupenda pia darling
Naona cheko paana[emoji23] [emoji23]Hahahahaa
Sjui nimpige fitna jamaa ili uachane naye ujiunge na mimi kwa kazi nzuri nazozifanya[emoji23][emoji23] mi bwana siwez kujibana nikipenda.
Unadhani utamu amuachie nani!!?Kizee kilichokaataa kuzeeka.