Huyu kaka ameanza kuniboa nifanyeje

Hapo sawa solution ni atafute tu kazi nyingine
 
Kazi ni ya serikalini dear.. na boss sio kwamba yuko peke yake wako wengi ila bado anabaki kwake kama boss wake

Halafu sasa nilitakiwa niondoke siku moja kabla ya siku niondoke maana kijana wangu kesho yake asingepata nafasi ya kunisindikiza kwa ubize wa kazi huyo bro wa mchongo akakataa mimi kuondoka akasema anakuja kuniona hiyo siku na atamuombea ruhusa huyo kijana wangu ili anisindikize iyo siku nyingine.. nashangaa siku imefika kijana wangu akanipigia jiandae bro wako anakuja kukupitia akupeleke mimi imeshindikana kupata ruhusa yaani iliniuma sana
Sijui anataka kufanya nini 😫
 
Sibishani na ww, ila nakwambia Acha uboya na mada zenu za kimaandazi
Mada yako ya kichapati iko wapi au unasubiri Watu wapost u comment.. na wanaume wa TZ mlivyo waoga hadi wanawake tunawashinda mnachojua nyie ni ku comments matusi kwenye post za watu kuandamana aah

Huo u seriously wako tuuone kesho Sio blablah kwenye post za watu
 
Kesho mapema tuu, uko pande zipi nikupitie?
 
Huyo dogo uliunganishwa nae anafirwa na huyo firauni kibosile Kwenye nyekundu ni ileile tu
Haiwi kijani.
Hapo huna mume wala mchumba kimbia au mfanye 3some.
Mawazo ya mwanadamu siku zote yamejaa uovu

Kimtokacho mtu ndicho kimjaacho moyo wake

Maneno mabaya mabaya kuwayasema na kuyaandika munawezaje nyie watu kheeeee😳🙌🏻
 
We unajua tumepanga nn mm na huyo niliyekukutanisha naye...
 
Mawazo ya mwanadamu siku zote yamejaa uovu

Kimtokacho mtu ndicho kimjaacho moyo wake

Maneno mabaya mabaya kuwayasema na kuyaandika munawezaje nyie watu kheeeee😳🙌🏻
Ndo ukweli ulivyo uelewe,haiwezekani mtu akupe kazi na mchumba na bado anawafata
 
Duhh how old are you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…