Huyu jogoo ananitia aibu!!!!

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,243
2,567
Habari wana JF.

Jaman hebu naombeni mnipe ufumbuzi juu ya suala hili. Nnaye mpenz wangu ambaye tumedum ktk uhusiana kwa takribani miezi nane sasa. Kwa muda wote huu nimekuwa nikimuomba game anabana anadai yeye ni bikra hatuwez kufanya hivyo hadi tuoane. Lakn hiv majuzi amekuwa akiniita nikalale kwake usiku. Kwangu mimi niliiona hiyo ni golden chance kufanya ile game.

Ni kama nilivyo dhamilia; mara ya kwanza kulala naye nilijtahd k2mia kila mbinu ya kumwandaa kimapenz nnayo ijua na kiukweli nilifanikiwa kumvua chupi japo ilinichukua kama masaa4 yaan tangu sa6 ucku to sa10 alfajiri (anaonekana kwel ni bikra kwa jinsi alivyo mgen wa mambo haya). K2 kilicho nishangaza na kuniuma sana ni pale nilipo maliza kumchojoa chupi na kujiproject ktkt ya paja zake ili nianze kula tunda. Kwa mda wote huo jogoo alikuwa amesmama ila nilivyo mgusisha2 babu kwenye mlango wa bibi alisinyaa ghafla na haksmama tena hadi asubuhi.

Nikawa nimeikosa nafasi hyo kwa mara ya kwanza. Binafsi nilihis pengine ni errors2 ndogo ambazo zisingejirudia nikiipata tena hiyo chance kwn skuwah kpatwa na hiyo stuation before (kwa madem nilio wahi kuwa nao kabla yake). Cha ajabu stuation ileile imejtokeza tena jana. Wakt wa fore play jogoo yuko imara ila nilipotaka kumzamisha2 akasinyaa ghafla.

Tena akasnyaa serious hadi asubuhi. Kwa mara nyingine nikakosa chance. Jaman si aibu hii!!!. Pengine tushauriane tatizo nini? Na nifanye nini?.
 
Habari wana jf. Jaman hebu naombeni mnipe ufumbuzi juu ya suala hili. Nnaye mpenz wangu ambaye tumedum ktk uhusiana kwa takribani miezi nane sasa. Kwa muda wote huu nimekuwa nikimuomba game anabana anadai yeye ni bikra hatuwez kufanya hivyo hadi tuoane. Lakn hiv majuzi amekuwa akiniita nikalale kwake usiku. Kwangu mimi niliiona hiyo ni golden chance kufanya ile game. Ni kama nilivyo dhamilia; mara ya kwanza kulala naye nilijtahd k2mia kila mbinu ya kumwandaa kimapenz nnayo ijua na kiukweli nilifanikiwa kumvua chupi japo ilinichukua kama masaa4 yaan tangu sa6 ucku to sa10 alfajiri (anaonekana kwel ni bikra kwa jinsi alivyo mgen wa mambo haya). K2 kilicho nishangaza na kuniuma sana ni pale nilipo maliza kumchojoa chupi na kujiproject ktkt ya paja zake ili nianze kula tunda. Kwa mda wote huo jogoo alikuwa amesmama ila nilivyo mgusisha2 babu kwenye mlango wa bibi alisinyaa ghafla na haksmama tena hadi asubuhi. Nikawa nimeikosa nafasi hyo kwa mara ya kwanza. Binafsi nilihis pengine ni errors2 ndogo ambazo zisingejirudia nikiipata tena hiyo chance kwn skuwah kpatwa na hiyo stuation before (kwa madem nilio wahi kuwa nao kabla yake). Cha ajabu stuation ileile imejtokeza tena jana. Wakt wa fore play jogoo yuko imara ila nilipotaka kumzamisha2 akasinyaa ghafla. Tena akasnyaa serious hadi asubuhi. Kwa mara nyingine nikakosa chance. Jaman si aibu hii!!!. Pengine tushauriane tatizo nini? Na nifanye nini?.

Pole sana Mkuu nadhani Tatizo lako ni la Kisaikolojia Maana kila Ukijaribu Kufanya akili yako inakuwa haijaconcentrate kwake bali unafikiria Tukio la Kushindwa jana yake na Matokeo yake Unashindwa tena.

Mambo hayo huwa yanatokea sana ila Usiyafikirie sana maana Ukiyafikiria sana yanageuka kuwa tatizo
 
Vp hao wab4 mahusiaano yalikuwaje na mlimalizana vp kuna wengine huwa wanaaply na uwitch kwamba mpenz akienda kwa mwingine asifanikiwe hilo pia nimewahi kulisikia.
 
ilo swala limawatokea wengi,naisi ulikua unafikili kushindwa kabla ya kufanya,jipange upya futa taswira mbaya utaweza.tena uafanya mambo had ufurahi.
 
Kwisha wewe! Kwisha khabar yako wewe!! Karibu lango la jiji!!!!! Ushakuwa joka la kibisa! Kudadeki hapo ndo nimesha piga valuur alafu mtoto kuful hana hakyanani mpaka kieleweki.Sinaga utani na mambo ya kikubwa mimi nilibaniwa sana na wazazi nilipokuwa nimebaleh eti kisa nisome lol!
 
Hali hiyo sio ngeni kama jamaa alivyosema. imewahikumtokea rafiki yangu na hwezi amini huyo demu alikuwa mzuri sana. Sasa yeye akitembea na mabinti wasiovutia, jogoo anasimama vizuri tu lakini akienda kwa huyo kisura, jogoo anamwaibisha. Jamaa kaachana na huyo binti(kisura)
 
Teh teh teh sema kweli Mkuu. Pengine jogoo lako la shamba haliwiki mjini!!!
 
Kama una hali ya kuogopa maana yake ni kama umeona simba kuna kitu kinatoka mwilini kinaitwa adrinalin. Mzee hako kajamaa lazima kalale Hata angekuwa nani. Muone wa kawaida tu utaweza. Jaribu kukaa muda mrefu bila kufanya. UNIQUEvinginevyo anamtego yeye ama wewe wa dawa za kienyeji. hapo ni hatari!
UNIQUE
 
ndo uache uzinzi muone kwanza.! usiogope. ni ishu ya kisaikolojia tu acha stress na usijiandae(usitumie mda mwingi ) kuwazia tukio unaloenda kufanya..utajipanikisha bure,relax take it easy enjoy dat rare treasure.
 
Oh! Chap, worry out! U aint urself wth such shameful problem. Bt try 2 talk 2 ur babe 2 b tolerant not lose hope. Jikaze 2 kwn 1 day YES. She wont believe her eyes and ears.
 
Oh! Chap, worry out! U aint urself wth such shameful problem. Bt try 2 talk 2 ur babe 2 b tolerant not lose hope. Jikaze 2 kwn 1 day YES. She wont believe her eyes and ears.

Hapa lazima tutaimba hip hop mwaka huu ati.
 
Kama Jogoo ana siha njema, inawezekana ni tatizo la kisaikolojia; pengine ulitarajia kuona kitu fulani katika huyo dada halafu alipovua nguo kitu hicho hukukiona kwa mfano wale wanaopenda wo wo wo kama mimi, mwanamke akiwa amevaa jeans la kubana, **** hilo linaoneka fresh, akivua nguo ile hali inapotea basi hata hisia zinaweza kupotea pia. kwa upande mwingine inawezekana katika mwili wa huyo dada kuna alama zisizo za kawaida mfano chale zilizopigwa kuanzia kifuani kupitia kitovuni hadi Pentagon zaweza pia kukupotezea uelekeo.

Ushauri: Jiamini kwamba unaweza, kisha cheza mechi salama. Siku jogoo likinyanyuka huyo bikra lazima jito la damu litatiririka. Hebu jipe moyo, kama unavyowashughulikia wengine fanya vivyo hivyo kwa huyo bikra.
 
Umemwogopa sana huyo Demu na umempa thamani ya juu sana na hivyo huamini kama amekupa. Tulia amini ni mwanamke kama wale uliokutana nao then kamata kitu. pata valuu au viceroy kidogo utashangaa matokeo yake
 
unangoja nini kutinga kwa babu kule Samunge!!!..au huna mtu unayemfahamu kule sumbawanga?
 
Huyo mwanamke anakuchezea. Haiwezekani akubanie then ifike siku akuite mkalale then igome kusimama. Mwangalie sana huyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom