Habari wana jf. Jaman hebu naombeni mnipe ufumbuzi juu ya suala hili. Nnaye mpenz wangu ambaye tumedum ktk uhusiana kwa takribani miezi nane sasa. Kwa muda wote huu nimekuwa nikimuomba game anabana anadai yeye ni bikra hatuwez kufanya hivyo hadi tuoane. Lakn hiv majuzi amekuwa akiniita nikalale kwake usiku. Kwangu mimi niliiona hiyo ni golden chance kufanya ile game. Ni kama nilivyo dhamilia; mara ya kwanza kulala naye nilijtahd k2mia kila mbinu ya kumwandaa kimapenz nnayo ijua na kiukweli nilifanikiwa kumvua chupi japo ilinichukua kama masaa4 yaan tangu sa6 ucku to sa10 alfajiri (anaonekana kwel ni bikra kwa jinsi alivyo mgen wa mambo haya). K2 kilicho nishangaza na kuniuma sana ni pale nilipo maliza kumchojoa chupi na kujiproject ktkt ya paja zake ili nianze kula tunda. Kwa mda wote huo jogoo alikuwa amesmama ila nilivyo mgusisha2 babu kwenye mlango wa bibi alisinyaa ghafla na haksmama tena hadi asubuhi. Nikawa nimeikosa nafasi hyo kwa mara ya kwanza. Binafsi nilihis pengine ni errors2 ndogo ambazo zisingejirudia nikiipata tena hiyo chance kwn skuwah kpatwa na hiyo stuation before (kwa madem nilio wahi kuwa nao kabla yake). Cha ajabu stuation ileile imejtokeza tena jana. Wakt wa fore play jogoo yuko imara ila nilipotaka kumzamisha2 akasinyaa ghafla. Tena akasnyaa serious hadi asubuhi. Kwa mara nyingine nikakosa chance. Jaman si aibu hii!!!. Pengine tushauriane tatizo nini? Na nifanye nini?.