Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Ahsante sana Papa Mopao,tatizo natumia LIKE ningekupa CELLULAR,ni kweli kabisa hata nikamaliza kufanya tendo la uumbaji huwa Nalog offWashawasha na NALOG OFF zake kwa kweli ni kama kichekesho fulani.
Akimaliza kuongeaaaaaaa NALOG OFF
Akimaliza kusomaaaaaaa NALOG OFF
Nadhan katika hali ya kawaida huwa anafanya hivyo, kama vile
Akienda kulala usingizi ukimjilia tu Nalog off
Akiamka asubuhi Nalog off (Usingizi)
Akimaliza kupiga mswaki Nalog off
Akimaliza kunywa chai Nalog off
Akimaliza kujitayarisha kwaajili ya mtoko Nalog off
Kila mahali NALOG OFF
Huyo ndo Washawasha a.k.a NALOG OFF!
Log in tujue kama upo halafu log off tujue ya kuwa umetoweka. Nalog offNalog in. ahaaaaa. nalog off!
Fanya fasta kabla picha halijaisha. Nalog offKama ni dili ngoja nami nitafute yangu.
Ahsante sana Papa Mopao,tatizo natumia LIKE ningekupa CELLULAR,ni kweli kabisa hata nikamaliza kufanya tendo la uumbaji huwa Nalog off
Ni kweli kabisa,kila baada ya kumaliza huwa Nalog offhata akimaliza kunaniii analog off
hata akimaliza kunaniii analog off
Nashukuru kwa kuliona hilo,kubadilisha mazingira kunasaidia sana,ubarikiwe sana mkuu. Nalog offAaa mze wa NALOG OFF karibu bana! Umeingia kwa gia ya aina yake mkuu!! hahahaha!
Nashukuru sana kwa hayo maono yako,M/mungu akulinde na mabalaa ya dunia. Nalog offhuwa napenda post zake. huwa zinanichekesha lakini zina ujumbe/ushauri. Nalog off
Halafu linauza kinoma. Nalog offNaloga Off
Toleo jipya hilo.
OTIS
Nashukuru kwa sapoti yako. Nalog offkweli jamaa kaja na mpya!
Hiyo signecha yake ya na log off ni kali.
hata kwenye kusaka mapene huwa analog off