kha! huo mkono anaupeleka wapi???
Anajaribu kutafuta kikombe cha ubingwa maana kwa miaka takribani nane sasa hakionekani Emirates labda kimepotelea hapo.huyu jamaa mwenye jezi ya arsenal anaamulia ugomvi ama ana yake jamani?
Nahisi kama naamuwa ugomvi kwani hicho cha kufwatiwa juu (nyonyo) mbona kakiacha.huyu jamaa mwenye jezi ya arsenal anaamulia ugomvi ama ana yake jamani?
kha! huo mkono anaupeleka wapi???