Habari zenu jaman, naombeni mnisaidie ndo mapenzi haya au mimi ndo mshamba?
Nina boyfriend amepanga na mm pia nimepanga, kila mara huwa anakuja kwangu na mara chache huwa analala lakini kila nikimwomba anipeleke ama anielekeze nikapajue anapokaa hataki ni mwaka umepita sasa sipajui kwake, nikimwambia kama hataki nikapajue kwake basi tuachane ananiambia kuwa nimepata mwanaume mwingine ndo maana namwambia tuachane na wala sijali hisia zake. Ananiambia nisijali atanialika kwake siku moja.
Jamani kuna mapenzi kweli hapa?
Hajakupenda huyo
anayekupenda pia hukuckiliza na wewe
mkomarie pengne ni jini halina kwake
missme kama analalaga kwako siku nyingine bas tatzo sio kua ana mwanamke mwingine au ameoa ila ujue kua hana kwake anagongea getto hivo anasubir kupanga ndo akupeleke kwake au kwake ni kubaya aki compare na kwako..
na pia unaweza kutumia simu kuhakikisha kua haiishi na mwanamke mwingine kwake,yani umpigiage simu usiku sana then umlazmishe akuite yale majina matamu kama;mpenzi,e.t.c..
WASIKUPE PRESHA KUA WEWE NI NYUMBA NDOGO MI MWENYEWE NIMEWAHI KUMDANGANYA MTOTO WA GETI FLANI HIVOHIVO..
Habari zenu jaman, naombeni mnisaidie ndo mapenzi haya au mimi ndo mshamba?
Nina boyfriend amepanga na mm pia nimepanga, kila mara huwa anakuja kwangu na mara chache huwa analala lakini kila nikimwomba anipeleke ama anielekeze nikapajue anapokaa hataki ni mwaka umepita sasa sipajui kwake, nikimwambia kama hataki nikapajue kwake basi tuachane ananiambia kuwa nimepata mwanaume mwingine ndo maana namwambia tuachane na wala sijali hisia zake. Ananiambia nisijali atanialika kwake siku moja.
Jamani kuna mapenzi kweli hapa?
nini tena ex kidumu. . .we kwani mbona sijakupelekaga geto na hukulalamika?(halafu ex kidumu PM yangu umeivundika kule sijui ikioza utakula na nani?)Watoto wa siku hizi mnachosha sana.
Watoto wa siku hizi mnachosha sana.
nini tena ex kidumu. . .we kwani mbona sijakupelekaga geto na hukulalamika?(halafu ex kidumu PM yangu umeivundika kule sijui ikioza utakula na nani?)