Huyu Jamaa sijui alirudi ?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
New York City, 1941;

Askari akimuaga mwenza wake kwa mara ya mwisho muda mfupi kabla ya kwenda kupigana vita ya pili ya dunia mara baada ya likizo yake kukatishwa ghafla kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na Japan katika kambi ya kijeshi ya Marekani huko Pearl Harbour.

Inasikitisha sana,sijui huyu mzalendo alirudi salama na alimkuta huyo mpenzi wake?au alifia vitani.

Na huyo jamaa aliyembeba nae sijui alikuwa anabaki au nae alikuwa yupo safarini?

Vita sio nzuri.
IMG_20220507_123629.jpg
 
Uyo mjeshi hakurudi alifia vitani,mwamba aliyembeba manzi ndo alimiliki mzigo.
kama alivyoubeba mzigo hapo kwenye picha aliendelea kubeba moja kwa moja mpaka baada ya vita kuisha.
 
Back
Top Bottom