Jonogomero Member Joined Feb 8, 2012 Posts 99 Reaction score 27 Mar 4, 2012 #1 Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi mbili aisee, je ana hela nyingi au? Mi sijaelewa
Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi mbili aisee, je ana hela nyingi au? Mi sijaelewa
bucho JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 5,175 Reaction score 3,276 Mar 4, 2012 #2 Duh hiyo mpya.
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Mar 4, 2012 #3 Ungemuuliza!au kama vipi ungempitisha kitaa chetu,tumsachi kama anahela za kutosha.
nelly nely JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 665 Reaction score 229 Mar 4, 2012 #4 Yuko kikazi zaidi!
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Mar 5, 2012 #5 Searching...100% Loading...0% Network failed ! What this !?