Huyu jamaa noma

Huyu jamaa noma

MR.NOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
339
Reaction score
511
Salam; wanajanvi, nimetumiwa ujumbe kwenye simu sehemu yake inasomeka hivi "wana Iringa tumeamua kumtuma bungeni DAUDI Masas" , nikaamua kufatilia kidogo ili kujua CV yake, wanyetishaji wakaniambia ni Yule aliyewahi kuwa mmiliki wa jarida la Tabasam na Maua mwaka 1996 - 2004 na pia ali gombea ubunge 2005 Kupitia PPT MAENDELEO na sasa anazungua Iringa Mjini kwa miguu na baiskeli Kuomba ridhaa ya kuchaguliwa UBUNGE IRINGA MJINI kupitia Chama cha ADC. Anaemjua zaidi atupe wasifu wadau ili wana Iringa tufanye uamuzi sahihi.
 
Non Sense. Akishinda mgombea mwingine Iringa mjini zaidi ya Peter Msigwa, natembea uchi kuanzia Kihesa hadi Ipogoro
 
Salam; wanajanvi, nimetumiwa ujumbe kwenye simu sehemu yake inasomeka hivi "wana Iringa tumeamua kumtuma bungeni DAUDI Masas" , nikaamua kufatilia kidogo ili kujua CV yake, wanyetishaji wakaniambia ni Yule aliyewahi kuwa mmiliki wa jarida la Tabasam na Maua mwaka 1996 - 2004 na pia ali gombea ubunge 2005 Kupitia PPT MAENDELEO na sasa anazungua Iringa Mjini kwa miguu na baiskeli Kuomba ridhaa ya kuchaguliwa UBUNGE IRINGA MJINI kupitia Chama cha ADC. Anaemjua zaidi atupe wasifu wadau ili wana Iringa tufanye uamuzi sahihi.

Kampeni zina vituko kweli, yaani kaamua apaki gari lake badala yake atembelee miguu na baiskel! Duh! sielewi lengo lake nn hasa, au hataki aombwe lift? Kwani wakati wa kampeni wagombea wote huuvaa wema na upole, nadhani ameuvua utajiri wake na kuuvaa umaskini kwa muda tu. TUWASAIDIE NA KUWATHAMINI WAHITAJI SIKU ZOTE
 
Back
Top Bottom