Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 830
_Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alvyotoka akamuuliza,''ehe mme wangu ulienjoy?" Mme,"ah wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa,nimejisaidia huku nimesimama