Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa brainwashed.
Ila kama mwanamke kutoka kamwambie hadi Sasa bado anaenda kwenye matamasha atakuwa ka fail pakubwa kwa Sasa anatakiwa kuwa anahudhuria ibada au maeneo yenye utulivu mkubwa