Mie nna-comment hivi;
CHADEMA pekee ndio itatutoa kwenye umaskini,
hivi UDOM waki-graduate kila mwaka hadi 2015 wataajiriwa wapi na hii SISIEMU?
Kilichopo ni full kudai haki hadi kieleweke!
Nchi imeanza kuoza nduguzangu . . .
Huyu Maskini Jeuri analeta pooz ? mbona hajaonekana mitaa hii iliyojaa upendo na neema kwake ?Ha ha ha ha Uporoto bana yaani aha nimesahau sitaki nikukosee heshima ngoja ninyamaze ila hiyo red nilikuwa sijui
Nimeangalia kule kwake kumbe mara ya mwisho kuingia humu ni mwezi wa tano NAOMBA NIPEWE NAFASI YAKE please.Hakiyani vile hata mimi namshangaa kweli yaani haonekani kabisa
Nimeangalia kule kwake kumbe mara ya mwisho kuingia humu ni mwezi wa tano NAOMBA NIPEWE NAFASI YAKE please.
Asante, Bado hajanijibu naomba basi application yangu iwe inafikiriwa asipotokea huyu mteule.Ha ha ha ha nilishakusitukia toka mapemaaaaa halafu na wewe pia unasitahili hebu soma hapa chini
Join Date : 2nd April 2009
Posts : 2,163
Thanks 1,182Thanked 604 Times in 492 Posts
Rep Power : 27
Ha ha ha ha ha ha unanibembeleza kijanja sio SITAKI NG'O
wewe wa wapi jamani!!Mie nna-comment hivi; CHADEMA pekee ndio itatutoa kwenye umaskini,hivi UDOM waki-graduate kila mwaka hadi 2015 wataajiriwa wapi na hii SISIEMU?Kilichopo ni full kudai haki hadi kieleweke!Nchi imeanza kuoza nduguzangu . . .
mmhh kadala uyumwiki?monili....:israel:
mhh jaman...so b shost umempenda kajamaa cz ANATOA SANA THAX?
izo thax kwako2 au kwa watu wengne?
naona raha mie...yeye anatoa thax we unatoa mapenzi bin kumpenda.....
ahh
mi sjui nimpende nan....baada ya kunipa nin?
ngoja nione...
niaje lakin mpz?salama my sisy?
Ha ha ha ha nimemzimia sana bana thanks 8000+ halafu yeye kapewa 1000+ kha nampa salut sana huyu jamaa
Off topic: Kwanini hunipigii simu lakini wewe ukoje. Kipolo changu cha wali nakudai ujue