Huyu jamaa namzimia vile anavyowapenda watu!!!!!!!!!!!!!11111111...................

Wewe kwanini hupokei Private Number toka Juba lakini ukoje wewe unanikwaza ujue nikusema kwa K.........................
.......... Y? I mean why umsemee?

hahaha! Tafadhali usinisemehe tuyamalize wenyewe..si unajua tatizo langu na cm za juba?uko poa lkn?
Ngoja nimpigie....... hamuwezi kuyamaliza kijuujuu hivi!

nahitaji kupata maono ya hiki kicheko
Twende mlimani nikakusimulie.......... Najua unapenda sana Mlima...twende mlima upi leo?
 
Kuna mtu mwingine kiboko. yupo tangu 2008 lakini katoa thanks tano tu, ila kwa ukweli thanks humu zinaenda kwa ukoo, mie asiyenipa na mie simpi....utaona mtu katoa thread yake nzuri inafundisha watu hata thanks, ngoja aibuke mwa fulani na thread isiyo na mbele wala nyuma mpaka nafasi ya thanks haitoshi
 
.......... Y? I mean why umsemee?

Ngoja nimpigie....... hamuwezi kuyamaliza kijuujuu hivi!

Twende mlimani nikakusimulie.......... Najua unapenda sana Mlima...twende mlima upi leo?

Halafu wewe Babu vile nakuheshimu tuuuu ila...............
 
Kuna mtu mwingine kiboko. yupo tangu 2008 lakini katoa thanks tano tu, ila kwa ukweli thanks humu zinaenda kwa ukoo, mie asiyenipa na mie simpi....utaona mtu katoa thread yake nzuri inafundisha watu hata thanks, ngoja aibuke mwa fulani na thread isiyo na mbele wala nyuma mpaka nafasi ya thanks haitoshi

Shantal umeniangusha sana leo unalalamika kama Mulama nimekupa Like na Thanksa for this useful post

Me Love you bana tena sana Love
 
Shantal umeniangusha sana leo unalalamika kama Mulama nimekupa Like na Thanksa for this useful post

Me Love you bana tena sana Love
mhhhhh dena kwani nimetoa point au nimelalamika dada angu tofautisha kidogo.. unajua thread yako umekaa kihivo kwa hiyo tupost nini sasa mpz
 
Hahaha! yaani Dena watu wote wale walikuwa wanakudondokea/kukuzimikia ulikuwa unawatolea nje unakuja kumdondokea/kumzimikia Maskini jeuri, nimeamini mapenzi hayalazimishwi.Weraa weraa shemeji letu Maskini Jeuri ashindwe mwenyewe baada ya kupendwa na Supastaa wetu wa MMU. Michango ya harusi muanze kutuma kwangu sipokei chini ya laki ebooo!
 
Ha ha ha ha nimemzimia sana bana thanks 8000+ halafu yeye kapewa 1000+ kha nampa salut sana huyu jamaa

Off topic: Kwanini hunipigii simu lakini wewe ukoje. Kipolo changu cha wali nakudai ujue

dena njoo kwangu usile vipolo utavimbiwa bure...mi niko na cooked rice then inatunzwa kwa lile tanulu la kithungu....
 
Huyu jamaa kwa kweli namzimia sana wajameni kha?!! Ametoa Thanks kuliko dah MJ Big up sana bana

user-offline.png
Masikini_Jeuri
11th November 2010 11:31 AM
#9 JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 19th January 2010
Location : Igangidung'u
Posts : 4,015
Thanks 8,030
Thanked 1,080 Times in 761 Posts

Rep Power : 30

Big up again bana[/QUOTE]

Mzima wewe? Mhhhh! DA kumbe huwa unaangalia vingi!? hahahahah lol! haya uwe na siku njema na ubarikiwe sana.
 
Hahaha! yaani Dena watu wote wale walikuwa wanakudondokea/kukuzimikia ulikuwa unawatolea nje unakuja kumdondokea/kumzimikia Maskini jeuri, nimeamini mapenzi hayalazimishwi.Weraa weraa shemeji letu Maskini Jeuri ashindwe mwenyewe baada ya kupendwa na Supastaa wetu wa MMU. Michango ya harusi muanze kutuma kwangu sipokei chini ya laki ebooo!

Ha ha ha ha Uporoto bana yaani aha nimesahau sitaki nikukosee heshima ngoja ninyamaze ila hiyo red nilikuwa sijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom