Huyu Jamaa (KP) sijui anafikiriaga nini?

Huyu Jamaa (KP) sijui anafikiriaga nini?

480831_385641528209234_1220108465_n.jpg
 
Huyu jamaa is a GREAT artist kwenye katuni na kufikisha ujumbe bila chenga.
 
Tuwachore tu hata kama hawasikii basi wataona
 
Tehe................ Pinda anasema WAPIGWE NA MIMI NA SEMA WAPIGWE!!!! KIPANYA anasema TUWACHORE TU!
480831_385641528209234_1220108465_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
jaaani Tanzania utadhani kuna chama kimoja watu wamelewa madaraka mpaka wanatamani watu wote wawe CCM
 
Maosud Kipanya is a freedom fighter!!! Kupigana sio lazima utumie mtutu wa bunduki; kalamu tu inatosha!!!
 
Huyu kipanya yafaa apewe tuzo ya wachora katuni bora wanaofikisha ujumbe sehemu husika
 
Watu kama hawa tutakuja kuwakumbuka wakishaRIP.
Ila kwakweli he is a genius.
 
Hofu yangu wasije wakamfanyia operesheni bila ganzi kwenye hospitali yao kule mabwepande tu, wale wenzangu waliokula chumvi kidogo watakumbuka kilichompata mwandishi wa habari za kiuchunguzi Stan Katabalo wa gazeti la mfanyakazi.
 
Back
Top Bottom