MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,768
- 5,634
Mmmm ama kweli kua uyaoneaidha kapaka oil chafu au kapigwa na shoti ya umeme huyo
hapo hakuna cha skini wala nini kaungua huyo.
inaonekana alikuwa kawekwa ili apigwe picha kwa ukumbusho na sisi tuone kiongozi. no fotoshopu hapoHaya mauzauza ya tekinolojia mi mshanivuruga, sasa hiyo radi ndio imempandisha blauz yake juu kama alikuwa anakameruniwa?
picture was taken 1920. sofa hazikuwepoMbona kama ni makazi ya kalumanzira?
hii inaonekana ilikuwa ni radi ya ukweli, unaambiwa miguuni nyayo zilifumuliwa.Hii ni Radi ya Uchawi au Radi ya kawaida? Mkuu MSEZA MKULU?![]()
radi inaanzia kunako hii itakuwa radi mtu!!