Hahaha, leo ni siku njema wallah!
hivi mwamvuli unauzwa sh ngapi?
Kamulize kama kashawahi kulala njaa au kuomba msaada!
Acha zarau wewe na ye ndio maisha aliyopangiwa kuishi hata mbuyu ulianza kama mchicha
Kwa maana nyingine jamaa asidharau kazi ya mwenzake kwani yake haimusaidii/kumlisha jamaa!Kamulize kama kashawahi kulala njaa au kuomba msaada!
maisha ni hatari sana,, nauchukia
sana umaskini , eti hapa mjini mtu
kamua awe fundi mianvuli kweli
fundi mianvuli jamani huo
mwanvuli unauzwa tsh ngapi,,
mpaka uharibike ni lini na hiki
kiangazi nanii atakumbuka habari
za mianvuli,, aiseee sijawahi
mdharau maskini mwenzangu zaidi
ya kumhurumia
maisha ni hatari sana,, nauchukia
sana umaskini , eti hapa mjini mtu
kamua awe fundi mianvuli kweli
fundi mianvuli jamani huo
mwanvuli unauzwa tsh ngapi,,
mpaka uharibike ni lini na hiki
kiangazi nanii atakumbuka habari
za mianvuli,, aiseee sijawahi
mdharau maskini mwenzangu zaidi
ya kumhurumia