Huyu jamaa bado yumo kwenye gemu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu jamaa bado yumo kwenye gemu!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, Aug 9, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Sijui zile ndoto zake za kuwa rais wa 'inji' hii zilitokomea wapi?


  [​IMG]
   
 2. Ramwai

  Ramwai Member

  #2
  Aug 9, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  - Huyu nae bwana, mbonamiminaona kachoka ile mbaya:eyeroll2: si akae tu apumzike,au anataka wammalizie tena macho
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,220
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ndi yale anayo yasema Shibuda kuwa ukisema ukweli ndani ya CCM wewe hufai na Fitna itakuandama mpaka kufa na ndio walivyo mfanyia Lyatonga Mrema Iala bado yumo na Vunjo anaichukuwa kuilaini bila ubishi kwani wale wote wanajua alichowafanyia na anarudi tatizo la CCM yetu watu hawajipangi wao wanawaza pesaaaa tuuuna ndicho hata Mwl. JK Nyerere aliwahi sema mtu anaye lilia kwenda Ikulu anataka nini na anwapa vijisenti vyake vya nini huyu mtu si mtu, nawakumbusha hata Sita(spika) aliwahi kuimbia CCM jamani hawa matajiri wanaingia kwenye chama wanakiharibu sasa hivi,

  Enzi za Mwl. Matajiri hawakuwa wana nafasi ndani ya chama ni Mwl. aliweza Jenga hoja ya kufanya hao matajiri wasiwe na nafasi ndani ya chama, leo hii viongozi wakubwa wa CCM wanawatetemekea matajiri kwanini wajua ni kuwa na upeo mdogo wa kukiongoza chama wanashindwa kujenga hoja ya kuimarisha miradi ya chama na kukiendeshe na kukalia kungojea misaaada toka kwa matajiri sasa CCM kweli kujigomboa huko itakuwa kazi kweli kweli
   
 4. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Jamaa yupo na huko kwao ni nabii, kwani aliwasaidia saana wakina mama waliokuwa wanakula kichapo kutoka kwa waume zao, lazima achukue Ubunge kilaini tu,,
   
 5. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yanafanana na yatakayomfika padri silaa
   
 6. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,344
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  huyu baba wa watu angepumzika sasa,its too late 4 him i think.
   
 7. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mzee wa Kiraracha aliyegeuka mpiga debe wa JK siasa bwana !!!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Aug 10, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,457
  Likes Received: 3,343
  Trophy Points: 280
  .........kama Shehe Yahya vile!
   
 9. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mangi anapenda kubebwa huyu balaa,
   
 10. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tatizo la wanasiasa wetu hawasomi alama za nyakati..; this chap should have called it quits long time ago
   
 11. D

  Dina JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,756
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Jamani, mbona kama saa kumi na mbili jioni na jua limeshazama?
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,011
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mwonekano wa hiyo picha na jinsi alivyochoka ni kama wanaenda kumtupia kwenye shimo. apotelee mbali.
   
 13. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hahaha...mzee wa kubebwa
   
 14. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Huyu ni usalama wa taifa yuko kazini.Yeye na CCM damudamu
   
Loading...