Huyu jamaa atakua lini ?

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
[;11700355]




[/QUOTE]

Hivi kweli hii ni product ya
Mzee Malechela kweli au mzee wa watu aliuziwa mbuzi kwenye gunia na mamake jamaa, maana matendo yake umri wake ni tofauti kabisa.
 
Le Baharia, Le Mutuz, Le super celebrity. Anakwambia anafanya biashara ya utumbo yeye hajali.
 
Molembe, unasema atakua lini?, hapa kukubwa wake ndo ulipoishia
 
huyo dada wa upande wa kulia aliwah kuimba wimbo wa sunshine alimshirikisha nameless jamani ni yeye au nmfaanisha maana nampenda sana..............sorry kwa kua nje ya mada
 
huyo dada wa upande wa kulia aliwah kuimba wimbo wa sunshine alimshirikisha nameless jamani ni yeye au nmfaanisha maana nampenda sana..............sorry kwa kua nje ya mada

Umemfananisha hako pichani kako kwenye video ya kamili gado!
 
Jamani mbona ni kawaida kwa watu walokuwa mabaharia, huwa hawaishi kuwa na vituko?, ndivyo walivyo, kama vile Mze Sykes, mshawahi kumuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…