Huyu jamaa anaye lia ni nani?

Kaisome zaidi instapage ya jamiiforums wameelezea
Screenshot_2020-02-21-22-00-05-1.jpeg
 
Alipewa hela na bibi yake akanunue vitu,
Akukatana na jamaa yake akamshawishi akabet .

Kwenda kubet akaliwa,sasa akaanza kulia ili arudishiwe pesa yake,watu wakampiga picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu cha ajabu ambacho aliwahi ulizwa kuwa unafaidika na hizi picha ambazo ni meme kwenye mitandaoni kuwa zinamuingizia hata pesa alisema hajawahi pata hela yeyote kupitia hizi meme ambazo zimemfanya kuwa maarufu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom