Huyu jamaa anavua nini?

Huyu jamaa anavua nini?

attachment.php


Huyo anafikisha ujumbe kwa wahusika kwamba wasipokarabati barabara, atapanda minazi iwe beach kabisa!
 
Huyo anadai haki yake ya barabara ambayo inajaa maji huo ni ujumbe maalum
 
Afanye hivyo huku DAR..atamjuwa nani anamuita mwenzake AFANDE..Chagonja au Kova.Maana hichi kitendo ni moja ya maandamano.kufikisha ujumbe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom