Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Haya mambo ya udalali umenikumbusha mbali...apo jamaa anajisemea nipege changu si nishafanikisha.Atajuta kuvaa suruali ya "kushonesha".......... hapo anasuburi hela ya udalali wake
Haya mambo ya udalali umenikumbusha mbali...apo jamaa anajisemea nipege changu si nishafanikisha.
Pia itakua anawataka wote kama mfalme mswati.Tatizo boss hajaamua achukue yupi. Kila mmoja ana bei yake kama nyanya gengeni
Omera ija kanye?! Wang'ereHaya mambo ya udalali umenikumbusha mbali...apo jamaa anajisemea nipege changu si nishafanikisha.
Sasa kama ni mtumishi atavaaje jinsi ofcn, si mpaka iwe week,nd.Atajuta kuvaa suruali ya "kushonesha".......... hapo anasuburi hela ya udalali wake
Sasa kama ni mtumishi atavaaje jinsi ofcn, si mpaka iwe week,nd.
Ready made huwa zina tabia ya kuvimba kwa mbele.Anunue "ready made" sio zile za kupimwa kiuno na flaizi
Ready made huwa zina tabia ya kuvimba kwa mbele.
Hahaha!kakweli mkuu umenicha hapo sanaa!...mi mbona wa kusini kama wale wakwe zake Wolper.Omera ija kanye?! Wang'ere
Basi samahani nilidhani Rorya mojaHahaha!kakweli mkuu umenicha hapo sanaa!...mi mbona wa kusini kama wale wakwe zake Wolper.
Ningekua wa huko ningerika..maan watu wangekaa sawaBasi samahani nilidhani Rorya moja