Huyu jamaa anahitaji msaada!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Kuna kijana tupo nae mtaani, tatizo lake kila akinywa pombe, akilala lazima ajinyee na kujikojolea. Je! Tatizo ni nini?
 
hbu mchunguzeni inaezekana mwanzo ashawahi zima akapigwa pipe....................huh
 
Kuna kijana tupo nae mtaani, tatizo lake kila akinywa pombe, akilala lazima ajinyee na kujikojolea. Je! Tatizo ni nini?
Dawa yake kubwa ni umwambie aache kunywa hiyo Pombe haimtaki anywe ndio maana akinywa hiyo Pombe ana jinyea na kujikojolea mwilini mwake mwambie aache kunywa hiyo Pombe anywe Juice za Matunda, Juice za miwa kwa Bakhresa na kadhalika zitampa afya kuliko hiyo pombe................
 
Jamaakamaliza kazihapo juu ,unywaji wa pombe ni hatari kwa afya yake
 
Huwa unalale naye au anakusimulia au unasikia kwa mkewe
user-offline.png
icon1.png
 
Back
Top Bottom