huyu jamaa anaambiwa nini

Babu hajui kusoma, anamuimba dogo amsaidie kuandka urithi

AU

Dogo anapewa maneno ya kuandka kwenye barua ya posa
 
Viroba unavyo? Nina buku jero hapa.[emoji12]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Anamwambia ... Kamweleze bibi yako leo sitalala nyumbani leo nakwenda kijiji cha mbali.. Kumbe anakadumu
 
[emoji793] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Anamwambia Mjukuu wangu mimi umri umeenda na niliyoyafanya hapa Duniani Mungu anisamehe tu Andika hapo nikuachie mikoba yangu
 
Tu kifika kwa Headmaster ntazuga mzazi wako afu ntakutia mikwara sawa...?? Naona ni shule hapo madent kwa mbaaali
 
Jamaa anamsikiliza Mzee kwa heshima sana.. Something serious was going on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…