Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,177
Reaction score
2,551
Appreciation post to you brother Lwiva Lwiva

Anaandika Lwiva 13/11/2024 kwenye thread ya Abdul NONDO ( hapa hapa JF )

Namnukuu

Chadema hadi mjambe cheche. Nilipo waambia watu humu kuwa genge la Rostam Azizi ni hatari ni raia feki waliokuwa na agenda ya kukamata serikali na taifa, wengi hamkunielewa.

Kama Rostam Azizi na familia yake hawakufa na apa hapa kuwa mtashuhudia mambo mengi sana TZ, na kama Samia ataendelea kubaki kitini damu nyingi sana itamwagika hapa ni bado kabisa sibahatishi kwa ninacho sema.

Familia hatari ya jambazi na raia feki Rostam Azizi inaangamiza taifa kwa kutumia genge lake la raia feki lililo jipenyesha serikalini na CCM miaka mingi nyuma.

Kuna kipindi JPM alikamata kombati za JWTZ mikononi mwa hilo genge la bwana Rostam Azizi. Hilo genge lilianza kujipenyeza hadi kwenye jeshi letu la JWTZ ndiyo mkasikia maduka ya jeshi yanayoendeshwa na hao raia feki yaliitwa supermarket za jeshi.

Ukweli haukuwa hivyo ndiyo maana JPM alipochukua nchi hayo mambo yao yakafa. Ila Chadema kwa upumbavu walishindwa kutambua kazi tukufu aliyokuwa anaifanya JPM.

Kosa la JPM ni kuiacha familia ya Rostam Azizi hai, lilikuwa kosa baya sana kwa taifa letu. Kama hawakutokea watu jasiri na wazalendo kudili na huyu kiumbe Rostam basi Tanzania ijianadae kuwa kama Rwanda ya mauaji ya kimbari au kama Sudan.

Kwa sasa wengi mmesikia hii kitu inapigiwa chapuo na serikali pumbavu ya sa100, kinaitwa PPP ni jina zuri ila ni mwendelezo wa agenda ya raia feki kukamilisha mipango yao michafu kwa taifa letu.

Hiyo PPP ni program ya raia feki na mafisadi.

Mwisho
 
pastorkabigumila-20251117-0001.jpg
 
Appreciation post to you brother Lwiva Lwiva

Anaandika Lwiva 13/11/2024 kwenye thread ya Abdul NONDO ( hapa hapa JF )

Namnukuu,

Chadema hadi mjambe cheche🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 nilipo waambia watu humu kuwa GENGE LA ROSTAM AZIZI NI HATARI NI RAIA FEKI WALIOKUWA NA AGENDA YA KUKAMATA SERIKALI NA TAIFA WENGI AMKUNIELEWA ....KAMA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE AWAKUFA NA APA HAPA KUWA MTASHUHUDIA MAMBO MENGI SANA TZ NA KAMA SAMIA ATAENDELEA KUBAKI KITINI DAMU NYINGI SANA ITAMWAGIKA HAPA NI BADO KABISA SIBAHATISHI KWA NINACHO SEMA...FAMILIA HATARI YS JAMBAZI NA RAIA FEKI ROSTAM AZIZI INA ANGAMIZA TAIFA KWA KUTUMIA GENGE LAKE LA RAIA FEKI LILILO JIPENYEZA SERIKALI NA CCM MIAKA MINGI NYUMA....kuna kipindi JPM alikamata kombati za JWTZ mikononi wa hilo genge la bwana rostam azizi...Hilo genge lilianza kujipenyeza hadi kwenye jeshi letu la JWTZ ndiyo mkasikia maduka ya jeshi yanayo endeshwa na hao Raia FEKI...yaliitwa super market za jeshi ...ukweli haukuwa hivyo ndiyo maana JPM alipo chukua nchi hayo mambo yao yakafa ...ila chadema kwa upumbavu walishindwa kutambua kazi tukufu aliyokuwa anaifanya JPM ...KOSA LA JPM NI KUIACHA FAMILIA YA ROSTAM AZIZI HAI LILIKUWA KOSA BAYA SANA KWA TAIFA LETU..KAMA AWAKUTOKEA WATU JASIRI NA WAZALENDO KUDILI NA HUYU KIUMBE ROSTAM BASI TANZANIA IJIANDAE KUWA KAMA RWANDA YA MAUAJI YA KIMBARI AU KAMA SUDAN...Kwa sasa wengi mmesikia hii kitu inapigiwa chapuo na serikali pumbavu ya sa100 kinaitwa PPP ni jina zuri ila ni mwendelezo wa agenda ya Raia feki kukamilisha mipango yao michafu kwa taifa letu ....
HIYO PPP NI PROGRAM YA RAIA FEKI..NA MAFISADI.

Mwisho
Hii vita ni ya wananchi, tukiamua wote kwa pamoja kupambana tutaikomboa Tangayika.Tusikubali kugawanywa katika tofauti za vyama au dini.Mlionunuliwa na rushwa wakati umefika wa kuwasaliti waliowanunua ili mtetee haki, chondechonde amkeni tupiganie taifa letu.
 
Walionunuliwa nimegundua wanaangalia upepo,, watajiunga nasi dakika za mwisho tunapo karibia kushinda
 
Just to hide my id,, and ofcoz profession yangu na deal na hayo mavitu (medicine )
Shukran, siku moja nitaanzisha mada kuhusu pharmaceutical industry na tuongee kuhusu medicine kwa ujumla na jinsi taaluma hiyo inavyofundishwa Tanzania. Tutahitaji nasaha zako siku hiyo ikifika.

Tuendelee na mada husika.
 
KOSA LA JPM NI KUIACHA FAMILIA YA ROSTAM AZIZI HAI LILIKUWA KOSA BAYA SANA KWA TAIFA LETU..
Hapa mwanahisabati mwenzangu Lwiva alikuwa sahihi kabisa. Magufuli alikosea sana kuwa na huruma, hawa genge la mtandao walijuwa alikuwa mtu mwenye huruma, ndiyo maana wakatengeneza propaganda ya kumchafua kwa kumuita katili.

Magu hata kusaini waliohukumiwa kunyongwa alikataa, alitakiwa kufyeka mtandao wote kwa maslahi ya Taifa, sasa ona wanavyotusumbua.
 
Appreciation post to you brother Lwiva Lwiva

Anaandika Lwiva 13/11/2024 kwenye thread ya Abdul NONDO ( hapa hapa JF )

Namnukuu,

Chadema hadi mjambe cheche🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 nilipo waambia watu humu kuwa GENGE LA ROSTAM AZIZI NI HATARI NI RAIA FEKI WALIOKUWA NA AGENDA YA KUKAMATA SERIKALI NA TAIFA WENGI AMKUNIELEWA ....KAMA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE AWAKUFA NA APA HAPA KUWA MTASHUHUDIA MAMBO MENGI SANA TZ NA KAMA SAMIA ATAENDELEA KUBAKI KITINI DAMU NYINGI SANA ITAMWAGIKA HAPA NI BADO KABISA SIBAHATISHI KWA NINACHO SEMA...FAMILIA HATARI YS JAMBAZI NA RAIA FEKI ROSTAM AZIZI INA ANGAMIZA TAIFA KWA KUTUMIA GENGE LAKE LA RAIA FEKI LILILO JIPENYEZA SERIKALI NA CCM MIAKA MINGI NYUMA....kuna kipindi JPM alikamata kombati za JWTZ mikononi wa hilo genge la bwana rostam azizi...Hilo genge lilianza kujipenyeza hadi kwenye jeshi letu la JWTZ ndiyo mkasikia maduka ya jeshi yanayo endeshwa na hao Raia FEKI...yaliitwa super market za jeshi ...ukweli haukuwa hivyo ndiyo maana JPM alipo chukua nchi hayo mambo yao yakafa ...ila chadema kwa upumbavu walishindwa kutambua kazi tukufu aliyokuwa anaifanya JPM ...KOSA LA JPM NI KUIACHA FAMILIA YA ROSTAM AZIZI HAI LILIKUWA KOSA BAYA SANA KWA TAIFA LETU..KAMA AWAKUTOKEA WATU JASIRI NA WAZALENDO KUDILI NA HUYU KIUMBE ROSTAM BASI TANZANIA IJIANDAE KUWA KAMA RWANDA YA MAUAJI YA KIMBARI AU KAMA SUDAN...Kwa sasa wengi mmesikia hii kitu inapigiwa chapuo na serikali pumbavu ya sa100 kinaitwa PPP ni jina zuri ila ni mwendelezo wa agenda ya Raia feki kukamilisha mipango yao michafu kwa taifa letu ....
HIYO PPP NI PROGRAM YA RAIA FEKI..NA MAFISADI.

Mwisho
Oh! Udart, dp weldi, sgr n.k
 
Hapa mwanahisabati mwenzangu Lwiva alikuwa sahihi kabisa. Magufuli alikosea sana kuwa na huruma, hawa genge la mtandao walijuwa alikuwa mtu mwenye huruma, ndiyo maana wakatengeneza propaganda ya kumchafua kwa kumuita katili.

Magu hata kusaini waliohukumiwa kunyongwa alikataa, alitakiwa kufyeka mtandao wote kwa maslahi ya Taifa, sasa ona wanavyotusumbua.
Kuna mahali nilisoma, nasikia JPM udhaifu wake mkubwa ulikuwa neno " NISAMEHE NIMEKOSA"......alipenda sana mtu akubali kosa na sio kuleta siasa au kujitetea.

Nili prove hilo baada ya kuona clip you tube akiwa kwenye zile ziara zake sijui mkoa gani.....mkurugenzi mmoja alikuwa amezingua sana, alipopewa nafasi ya kujitetea

Yule mkurugenzi alijishusha sana na kusema maneno machache tu "mh raisi NISAMEHE nimekosea naomba nafasi nyingine, kukosea ni kujifunza na mimi najifunza"

Huwezi amini JPM alikuwa na hasira ila baada ya hayo maneno alinywea na hata akashindwa kuongea kwa sekunde kadhaa.....huwezi amini alimpa nafasi nyingine yule mkurugenzi

Ndio ivyo nika prove kuwa ni kweli,,
 
Mtoto wake Jessica alilisema hilo la kuomba msamaha alipohojiwa na Millard Ayo. Na ndivyo makamu wake alivyojiweka kwake, kiunyenyekevu, Magu akasahau kuwa mwerevu kama nyoka. Wakamuwahi.
 
Back
Top Bottom