Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Maxience mello mwanzilishi mwenza wa mtandao huu wa JF naona yupo Washington DC.Kwani ni nani?
Ila usije na matope ukachafua barabaraHuyu jamaa mwenyewe ntakuja Dar kwa Mara ya kwanza kukutana nae
Wakuu..
Naomba niwasilishe Salamu za Huyu Jamaa.. Honestly I wish nionane naye Live tunaongea kwa Mitandao sasa ni Muda wa Kumuona Live..
Keep on flying Brother
Kwani ni nani?
Maxience mello mwanzilishi mwenza wa mtandao huu wa JF naona yupo Washington DC.
Humjui ata aliyekufanya uwe maeneo haya ya kujidaiKwani ni nani?
Kivipi?kumbe mswahili!
Nilikuwa sijamuelewa kumbe alidhani mzunguKumbe ulidhani ni Mzungu.............