Huyu itabidi asubiri sana


Hii nimeikuta sehemu!
wanasema picha huongea zaidi ya maneno:smile:

Tembo pamoja na ukubwa wake wote lakini huweza kuuawa na sisimizi. Sisimizi wakishaingia kwenye mkonga wake basi kwisha habari yake. Ikumbukwe pia kuwa "Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi". Vilvile kwa wasomaji wa Biblia watakumbuka kisa cha Daudi, kijana mdogo alivyomuua Golithi, aliyekuwa bonge la jitu.
 

Hii nimeikuta sehemu!
wanasema picha huongea zaidi ya maneno:smile:

mbona kazi ndogo kumuangusha uyo manyama-uzembe aka Giant; unapiga kwenye joints lazima akae, na akianguka tu unatumia nyundo ya kupasulia mawe kumaliza kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…