davidson689
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 646
- 158
Ila ndio inatakiwa me kama mwanamke hajui kudeka....big NO...
Kudeka kuna raha yake
Hapa kuku wengi nakuja uani
loading error
Yaani kaka hapa kazi anayo
hahaha ya ngoswe
hahaha ya ngoswe
Tuwaachie tu
Umemwona mwenzako mfuko wa chai :blah: blah Kama weweAnataka galaxy S4 na ipad pamoja na slim powerbank
Wacheni mumeo yuko wapi
Wacheni mumeo yuko wapi
Yupo kazini
Anataka galaxy S4 na ipad pamoja na slim powerbank
Aisee hii mbona kali! Halaf jamaa hana salio hebu ona anavyojitetea
loading error
Kuna mtu kaiba ID yangu miss
Copy and paste :A S 109: